Ticha Zungu – Jifunze English APP info

JIFUNZE KIINGEREZA KWA KISWAHILI MTANDAONI NA TICHA ZUNGU!

> Daunlodi aplikesheni ya Ticha Zungu ili uanze kujifunza Kiingereza cha kusoma, kuongea, kusikia, na kuandika mda wowote, siku yoyote unapokuwa na nafasi.

-> Ndani ya aplikesheni kuna masomo ya miezi mitatu. Kila somo lina sehemu nne:

– Sehemu ya kuzungumza laivu na mzungu kwa Kiingereza huku ukipata msaada kutoka kwa Ticha Zungu.

– Sehemu ya kusikiliza video ya somo.

– Sehemu ya kujifunza maneno ya Kiingereza na tafsiri zake, namna yanavyotamkwa, na kurudia kuyatamka.

– Sehemu ya maswali ya kutafsiri sentensi za Kiingereza kuringana na somo la video ulilofundishwa na maneno uliyojifunza, kusikiliza hizo sentensi zinavyotamkwa, na kurudia kuzitamka kwa Kiingereza.

-> Ukikamilisha masomo ya mwezi mmoja utajua Kiingereza kiasi kikubwa, na ukikamilisha miezi mitatu Kiingereza hakitokusumbua tena.

-> Ada ni 10,000 na ni ya muda wa miezi mitatu.

Read more

Leave a Comment