Sikiliza Kisa cha nabii musa A.s. Huyu Ni miongoni mwa Mitume na manabii 25 wa Allah waliotumwa kuwalingania watu wa jamii yake kumrudia Allah katika dini ya Uislam. Nabii Musa ndie alipewa kitabu cha taurati ( Torah /Tawrat).
App hii imebeba simulizi nzima tangu kuzaliwa kwake hadi kuondoka kwake.
Baada ya App hii usikose kufatilia kisa cha Nabii Muhammad na nabii Yusufu.
App hii imebeba simulizi nzima tangu kuzaliwa kwake hadi kuondoka kwake.
Baada ya App hii usikose kufatilia kisa cha Nabii Muhammad na nabii Yusufu.
Imeandaliwa na Dirajumla.
Read more